PT Journal AU Higgins, C TI Comment to the book review by Amani Lusekelo / Kommentar zur Rezension von Amani Lusekelo / Commentaire à l récension d'Amani Lusekelo 2009 SO Afrikanistik online PY 2011 VL 2011 IS 8 DE Swahili; Tanzania; sociolinguitics AB Mpendwa Amani,Nashukuru sana kwa maoni yako juu ya kitabu changu. Nakubaliana sana na wewe juu ya dhamira ya ubepari ndani ya muktadha wa mashindano ya urembo. Lakini sikutafiti mashindano yanayotokea bara -- utafiti huo ni wa SabrinaBillings (sitaki kuonekana kama nilifanya utafiti huo -nimesoma tasnifu yake ambayo ni nzuri sana). Billings amechapisha utafiti wake hivi karibuni katika Language in Society (2009). ER